20 Jul 2015

MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 10 POST

  Ally       20 Jul 2015
 POSITION:  MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 10 POST

Employer: Ministry of Natural Resources and Tourism

JOB SUMMARY:
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
• Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu.
• Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha.
• Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu
• Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki.
• Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
•  Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na NBAA

REMUNERATION: Salary Scale TGS B


How To Apply:
All application should be sent through Recruitment Portal with the following address. http://portal.ajira.go.tz/  (This address can be found also in Public

Application Deadline: 24-07-2015
logoblog

Thanks for reading MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 10 POST

Previous
« Prev Post